INAUZWA WANUNUZI WA PILIPILI MBUZI TUWASILIANE TAFADHARI

INAUZWA WANUNUZI WA PILIPILI MBUZI TUWASILIANE TAFADHARI

LULAMSO

Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
56
Reaction score
9
Habari za mapambano wajasiliamali wenzangu.

Nimezalisha pilipili mbuzi zakutosha sana, kwa anaehitaji kwa matumizi mbalimbali kama vile chachandu, chill, kuuza kwa walaji wa kawaida wakiwemo wafanyabiashara wa nyama choma na mahotelini n.k, naomba tuwasiliane kwa namba 0622243034 au 0767243034.

Nipo Iringa, karibuni sana!
 

Attachments

  • upload_2017-12-25_20-37-15.png
    upload_2017-12-25_20-37-15.png
    3.1 KB · Views: 37
Back
Top Bottom