Aimaanishi soko la vanilla halipo, lipo sana hila kuna watu na makampuni ya kijanjajanja yanawaibia wakulima mfano wanalangua kilo moja ya vanilla mbichi kwa tsh elfu 20,000.na wanauza soko la hapahapa Tanzania kwa tsh 150,000.kwa kilo.Wanajamii poleni na majukumu,nipo hapa Dar es Salaam hila natokea Mkoani Kagera ambako kuna wakulima wa Vanilla wengi mno na Zao hilo limekosa soko,wanakijiji wenzangu wamenituma niwatafutie wanunuzi huku hila hapa Dar nikaambiwa hawapo mpaka huko Zanzibar,hivyo nauliza mwenye kuwajua hao wanunuzi aniunganishe nao kusudi wakulima Mwakani wawe na soko la uhakika.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Ndo manake bei ni kubwa hata soko la Dunia bei iko juu,ukigoogle utashangaa hila hapa TZ mkulima sijui ni lini atakombolewa!!aisee, si ndiyo wanasemaGA kilo moja ni 800k au ikoje ?
Alie kuambia Zanzibar kilo ya Vanila ni Milioni nani?Aimaanishi soko la vanilla halipo, lipo sana hila kuna watu na makampuni ya kijanjajanja yanawaibia wakulima mfano wanalangua kilo moja ya vanilla mbichi kwa tsh elfu 20,000.na wanauza soko la hapahapa Tanzania kwa tsh 150,000.kwa kilo.Na kilo moja ya vanilla iliyokaushwa huko Zanzibar ni zaidi ya million moja ambayo ni sawa na kilo 6 za vanilla mbichi ambayo ununuliwa kwa mkulima kwa tsh 120,000.Mtu wa kijijini haya hawezi kuyajua ndugu zangu.