Naomba kuuliza eti kuna kampuni inayojihusisha na kununua nyumba au viwanja. Kwamba ukifika pale wanatathmini nyumba yako bila ya kwenda kuiona wanaweza wakasema nyumba yako ina thamani ya milioni mia. Unaambiwa lete hati ya makazi kisha unawekwa kwenye mlolongo wa kulipwa. Kina kitu kama hicho jamani au matapeli naomba msaada wenu kuhusu hili.