Wanyakyusa hizi ndio tabia zenu

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Majungu, unafiki na kusengenyana na kusutana misibani,
halafu mnazuga eti walokole.
Badilikeni.
NB

Bora ukweli uumao kuliko utani uchekeshao.
 
Majungu, unafiki na kusengenyana na kusutana misibani,
halafu mnazuga eti walokole.
Badilikeni.
NB

Bora ukweli uumao kuliko utani uchekeshao.

wewe achana na hawa watu ni noma siku hizi wanajifanya wanatoka kwa Pinda kule watakumaliza aise
 
wewe achana na hawa watu ni noma siku hizi wanajifanya wanatoka kwa Pinda kule watakumaliza aise

Du halafu wapo Wamanyafu, nasikia hao ni noma, bora hata wale wachawi wa gamboshi
 
achana naye huyo ndugu anatafuta kubondwa na rungu bure aende kuwasimulia wajomba zake ahera pindi akifika huko ahera yaani kuzimu.
aliona wapi wanyakyusa wana vitabia vya ajabuajabu kama wazaramo kama yeye nndeke akhakanunu alimwalangani,
Baba V, ladyfurahia, watu8, GreenCity hebu njooni pande hizi kuna ambulence imeishiwa mafuta ikiwa na mgonjwa mahututi ndani
 
Ww upo na mnyakyusa gan?huyo sio mnyak bana hawapo ivo me nakataa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

mmmh hizi habari za makabila jamani
mpaka mtu kuandika hivi kunakua kumefanyika uchunguzi
au ni mtu anaamua kisa kaona jirani kabila flani,ana vijikasoro vyake
anajumlisha kabila zima,khaaaa!!
 
Kwa makanisa na ulokole kweli kule kwao vipo
Menfine sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…