Nahisi makatapera yanawasaidia sana, hivyo komaeni kuyazalisha na kuyatumia (kuyala) ipasavyo. Angalia vichwa hivi:
1. Wakili msomi Mwambukusi
2. Dr. Tulia Akson
3. Professor Mwafyenga (digrii 10)
4. Professor Mwandosya
5. Dr. Mwakyembe
6.
7.
8.
9.
Ongezea wengine (usimtaje Sugu, huyu siyo Mnyakyusa).