Wanyakyusa waishukuru serikali

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
........Kuna Mnyakyusa ameishukuru mno Serikali kwa kupendekeza Mbeya ndio iwe sehemu ya kupatwa kwa Jua.....Lol Wanyakyusa mnaniangusha jamani. Na nyie watu wa TV muwe mnangalia watu wa kuwahoji....Lol[emoji28][emoji38][emoji28]
 
Majina mapya huko Mbeya.,

Mwakupatwa
Mwakajua
Mwakamwezi
Tulimwezi
Atupatwile twa jua
 
Majina mapya huko Mbeya.,

Mwakupatwa
Mwakajua
Mwakamwezi
Tulimwezi
Atupatwile twa jua
Hayo ndio majina ya maaskofu? Nasikia mbeya wana makanisa mengi kuliko yote humu duniani.
 
Mwingine alipendekeza iwe kila wiki ili biashara itoke[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…