Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Man u ni mashetani wekundu
Chelsea ni mashetani wa blue
tofauti ni kwamba Chelsea ni dume kwa kuwa blue ni rangi ya kiume na Man ni majike
Timu nyingi za ulaya naona zina wanyama ambao kidogo wanafanania na simba lakini sio simba.
Miongoni mwa timu hizo ni Manchester United na Chelsea. Man wanamwita mnyama wao SHETANI MWEKUNDU, je hawa wanyama wana maana gani?
Hata libunduki la Arsenal na lijogoo la Liverpool ni madudu ya ajabu ajabu tu