FisiMi nawakubali sana Mbwa mwitu. Au African wild dogs/ Lycaon Pictus. Hawa jamaa napenda jinsi walivyokuwa organized na uwindaji wao.
Kawaida yao wanakula mnyama bado akiwa hai. Wanyama gani au ndege unawakubali na kuwapenda sana?
View attachment 977451
Duh!Amongst the intelligent animals.
They celebrate a new baby and mourn the dead.
Duh!
Ninawapenda KUANZIA sasaNi kweli kabisa mkuu. Na wanaishii kwa familia moja . Wajomba mashangazi nk.