Jitahidi ufike huko ujionee maonyesho yao[emoji3] [emoji3]Hahaaa we mkuu una utani mmbaya
What if hao faru pia walikuwa wanawafanyia kazi?Si unajua wote ni zawadi kutoka kwao?Hao hawana lolote kwa faru wetu fausta na john wanaheshmika balaaa bora uishike sirikali matako kuliko hao viumbe
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Imekaa vzrKwa kawaida wanyama hurahisisha maisha ya binadamu kwa kuwa walinzi, chakula na usafiri lakini kuna baadhi ya wanyama na ndege walioweza kujiwekea heshima duniani hasa kwenye sekta maalum za kijeshi na wameweza kupata nafasi za juu jeshini.
1: SIR NILS OLAV
Nils Olav ni ndege aina ya Penguin aliyepewa cheo mara ya kwanza mwaka 1972 na kuwekwa kwenye timu ya walinzi wa mfalme Harald V Loudon wa Norway. Kwa sasa Sir Nils Olav ni Brigedia anapewa heshima zote za kijeshi ikiwemo kupigiwa saluti na kukagua jeshi.
2: TREO
Ni mbwa aliyetumikia jeshi la Uingereza kuanzia mwaka 2001 mpaka 2015. Trio ana medali zisizopungua 63 ambazo alipewa baada ya kufaya kazi kubwa ya kutegua mabomu na kutambua mahali mabomu yalipofichwa.
3: WILLIAM OF ORANGE
William ni njiwa aliyekuwa mwanajeshi wa jeshi la Uingereza mwenye namba MI14 ambapo mwaka 1944 alipewa medali ya 21 baada ya kupeleka ujumbe uliookoa vifo vya zaidi ya wanajeshi 2000 kwenye vita ya Arnhem wakati wa Vita ya Pili ya Dunia.
4: TAFFY IV.
Huyu ni mbuzi aliyetumikia jeshi la Uingereza tangu mwaka 1775 ambaye alichukuliwa kwa mara ya kwanza mwaka 1774 na kuingizwa kwenye jeshi maalum la Uingereza alipokutwa anarandaranda porini. Alipewa medali ya 14 ambayo ni maalum waliyopewa wanajeshi wa Uingereza wakati wa Vita ya Kwanza ya Dunia (WWI).
5: LIN WANG
Ni tembo aliyekuwa mwanajeshi wa jeshi la China kuanzia mwaka 1942 ambapo alitumika kujenga majengo marefu ya jeshini, kusafirisha chakula wakati wa vita na alitumika kama kivutio kwa ajili ya kukusanya fedha wakati wa njaa kipindi cha vita na kupewa medali 12 za kijeshi.
Pia tuna kasuku na ngedere pale magogoni vipi wao?Kwa kawaida wanyama hurahisisha maisha ya binadamu kwa kuwa walinzi, chakula na usafiri lakini kuna baadhi ya wanyama na ndege walioweza kujiwekea heshima duniani hasa kwenye sekta maalum za kijeshi na wameweza kupata nafasi za juu jeshini.
1: SIR NILS OLAV
Nils Olav ni ndege aina ya Penguin aliyepewa cheo mara ya kwanza mwaka 1972 na kuwekwa kwenye timu ya walinzi wa mfalme Harald V Loudon wa Norway. Kwa sasa Sir Nils Olav ni Brigedia anapewa heshima zote za kijeshi ikiwemo kupigiwa saluti na kukagua jeshi.
2: TREO
Ni mbwa aliyetumikia jeshi la Uingereza kuanzia mwaka 2001 mpaka 2015. Trio ana medali zisizopungua 63 ambazo alipewa baada ya kufaya kazi kubwa ya kutegua mabomu na kutambua mahali mabomu yalipofichwa.
3: WILLIAM OF ORANGE
William ni njiwa aliyekuwa mwanajeshi wa jeshi la Uingereza mwenye namba MI14 ambapo mwaka 1944 alipewa medali ya 21 baada ya kupeleka ujumbe uliookoa vifo vya zaidi ya wanajeshi 2000 kwenye vita ya Arnhem wakati wa Vita ya Pili ya Dunia.
4: TAFFY IV.
Huyu ni mbuzi aliyetumikia jeshi la Uingereza tangu mwaka 1775 ambaye alichukuliwa kwa mara ya kwanza mwaka 1774 na kuingizwa kwenye jeshi maalum la Uingereza alipokutwa anarandaranda porini. Alipewa medali ya 14 ambayo ni maalum waliyopewa wanajeshi wa Uingereza wakati wa Vita ya Kwanza ya Dunia (WWI).
5: LIN WANG
Ni tembo aliyekuwa mwanajeshi wa jeshi la China kuanzia mwaka 1942 ambapo alitumika kujenga majengo marefu ya jeshini, kusafirisha chakula wakati wa vita na alitumika kama kivutio kwa ajili ya kukusanya fedha wakati wa njaa kipindi cha vita na kupewa medali 12 za kijeshi.
watu mna balaaaa
6: MA PADLOCK
Huyu ni jamii ya samaki aina ya tilapia/sato amejipatia umaarufu kunzia miaka ya 2008 ila umaarufu wake uliongezeka kufikia mwaka 2015, alipovikwa mavazi ya kijeshi yani full combat na kuogelea nazo masaa 72. Alitunukiwa cheo cha Amiri Jeshi Mkuu, baada ya kukabidhi kivuko cha Jamuhuri katika Jeshi. Ameisaidia nchi fulani kuweza kushinda kesi za Samaki.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
lipe medali tu hakuna namnaNina lipaka shume langu hapa om linakazi ya kufunua masufuria ya mboga na kunya kwenye unga cjui nilifanye nn, [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Soon nitalivalisha hirizi jinga sanaπππ
Hahaaaa, tuzo tu ila mshahala hakuna wala mafaoHatari sana yana wanyama wanachafuka medali zaidi ya binadamu bana.....afu usisahau kuna paka mmoja alikuwa meya pale marekani.
Ivi hawa wanayama Nani hua anachukua mishahara yao na posho ?Kwa kawaida wanyama hurahisisha maisha ya binadamu kwa kuwa walinzi, chakula na usafiri lakini kuna baadhi ya wanyama na ndege walioweza kujiwekea heshima duniani hasa kwenye sekta maalum za kijeshi na wameweza kupata nafasi za juu jeshini.