mwanaharakatihalisi1
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 107
- 25
Baada ya kutokea tukio la Arusha la kanisa kupigwa bomu nilipitia kwenye Blog kadhaa zote zikiwa zimeandika aliyerusha bomu alishuka kwenye hiace akiwa na kanzu akarusha bomu halafu akakimbia. Baada ya masaa 12 tukapata habari aliyerusha bomu anaitwa Ambrose na alikimbizwa na akakamatwa. Sasa hizi blog zilizotaka kupandikiza chuki habari zilipata wapi? Maana chuki walio ipandikiza ni kubwa sana.
Hawajaishia hapo naona sasa wameanza kwenda popote anapotokea Sheikh Ponda na kuanza kumlisha maneno ambayo hakusema Sheikh Ponda ili kueneza chuki zao. Ifike wakati Dola ilishughulikie hili. Hawa watu wanasikilizwa na kwa kutumia mwanya huo wanapandikiza chuki kwenye jamii.
Lazima niseme namuunga mkono Sheikh Ponda katika harakati zake zote za kukomboa BAKWATA na waislam wote. Serikali inailinda BAKWATA hamna mtu aneweza kuigusa.