Na romalio na zlatan and a lot of elite of football!? Be serious mapenzi hayapaswi kukupofushaRonaldo delima anaheshima yake kwenye soka haiondoi upendeleo wa kibinadamu
Sijui unaelewa !!? Ukienda kwenye page zote kubwa duniani huwezi kusikia kwamba Kuna mjadala unao mtaja cr7 kuingia hata kwenye top 3 ya wachezaji Bora wa muda wote na hiyo top 3 ndio Huwa inamtaja pele maradona na MessiCR7 na Messi , Pele na Maradona Hawa watu don't underated anyone ktk hii list
Ila Messi ni Alien .
Kwahiyo Top five Messi anakaa namba Moja
Mkuu umeshinda Messi boraNa romalio na zlatan and a lot of elite of football!? Be serious mapenzi hayapaswi kukupofusha
Btw Kuna ngoma yenu imeachiwa huko YouTube for cr7 fancy umeisikia πππ
Mapenzi na hisia zimemtawala CR7 ana nafasi yake.Mkuu umeshinda Messi bora
Mimi Tena !!! Nikuletee video clip ya magwiji wakubwa wanapo muongelea Messi na cr7 halafu uone Messi wana muweka kwenye level ipi !?Mapenzi na hisia zimemtawala CR7 ana nafasi yake.
Mimi Tena !!! Nikuletee video clip ya magwiji wakubwa wanapo muongelea Messi na cr7 halafu uone Messi wana muweka kwenye level ipi !?
Mimi Tena !!! Nikuletee video clip ya magwiji wakubwa wanapo muongelea Messi na cr7 halafu uone Messi wana muweka kwenye level ipi !?
Mapenzi na hisia zimemtawala CR7 ana nafasi yake.