Wanyonge aliokuwa anawasema Hayati Magufuli kwamba anawatetea ni wa wapi?

Wanyonge aliokuwa anawasema Hayati Magufuli kwamba anawatetea ni wa wapi?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Hata retention fee tu bodi ya mikopo hakuiondo imekuja kuondolewa na Samia.

Zaidi sana aliongeza makato kutoka asilimi 5 mpaka asilimia 15.

Ajira hakuzipa kipaumbele kabisa zaidi sana hata chache zilizomuwepo alizimaliza kwa kuwakimbiza wawekezaji sector binafsi
 
Wale ambao wanastahili haki zao hata kama wakinyongwa.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni*
 
nawaibia siri, hakuna ajira inatolewa na seriklai bila kupata kibali kutoka IMF na benk ya Dunia.wakatiwa jiwe walisema uchumi usingeruhusu kuanjii watu wapya
 
Hata retention fee tu bodi ya mikopo hakuiondo imekuja kuondolewa na Samia.

Zaidi sana aliongezq makato kutoka asilimi 5 mpaka asilimia 15.

Ajira hakuzipa kipaumbele kabisa zaidi sana hata chache zilizomuwepo alizimaliza kwa kuwakimbiza wawekezaji sector binafsi
Mmh!
 
Back
Top Bottom