Wanyonge mnazungumziaje sherehe za xmas na Mwaka mpya?

Wanyonge mnazungumziaje sherehe za xmas na Mwaka mpya?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Taifa lenye maendeleo ni taifa lililo na furaha. Binadamu aliyeendelea hutenga muda wake kufurahi na familia pamoja ndugu kupitia likizo bila kujali aina ya kazi anayofanya au kupitia public holiday.

Ninahusianisha Tanzania kuingia uchumi wa Kati 2020 na furaha ya Mtanzania. Ni kweli ipo furaha kwetu hasa wanyonge?
 
Pia wakumbushe wanyonge January 2021 ni Leo hii hii usiku Kodi za nyumba zinawasubiri na watoto wanaenda shule wiki ijayo wanyonge oyeeeee.
 
Awamu hii imewatupa kabisa wanyonge wanajuta kuifahamu, wanaomba hii minne iliyobaki na ipite Kama upepo. Jiwe alisema akipata madaraka atawasomesha watu namba na kweli ametimiza kusudi lake asibadili katiba awaachie wasiowasomesha watu namba. Kama ni furaha ashaipata vya kutosha kwa kuumiza watu
 
Nchi imelala doro
Imemshinda 4 yrs hawezi saidia chochote.
Kuwapooza watz machungu na kujenga heshima yake milele awape watz katiba mpya na tume huru ya uchaguzi akifanya hivo watz wote tutamsamehe kwa mabaya yote aliyotutendea 10yrs
 
Back
Top Bottom