Awamu hii imewatupa kabisa wanyonge wanajuta kuifahamu, wanaomba hii minne iliyobaki na ipite Kama upepo. Jiwe alisema akipata madaraka atawasomesha watu namba na kweli ametimiza kusudi lake asibadili katiba awaachie wasiowasomesha watu namba. Kama ni furaha ashaipata vya kutosha kwa kuumiza watu