Binafsi siipendi kabisa hii slogan.Kwa muda sasa tumesikia kuwa Tanzania kuna 'wanyonge' na Rais amekuwa akiwapigania kwa kujiita ni 'Rais wa wanyonge.'
Hivi 'wanyonge' wana sifa zipi? Na idadi yao ni kiasi gani? Kitu gani hasa kinawaweka kwenye 'unyonge' kama kweli wapo? Hivi kama kweli hawa 'wanyonge' wapo, wanakombolewa na sheria au Rais?
Watu milioni karibia 13 5 wanaosadikiwa ni wanachama wa ccm including mabalozi wa ccm wa nyumba 50 hao ndo wanyongeKwa muda sasa tumesikia kuwa Tanzania kuna 'wanyonge' na Rais amekuwa akiwapigania kwa kujiita ni 'Rais wa wanyonge.'
Hivi 'wanyonge' wana sifa zipi? Na idadi yao ni kiasi gani? Kitu gani hasa kinawaweka kwenye 'unyonge' kama kweli wapo? Hivi kama kweli hawa 'wanyonge' wapo, wanakombolewa na sheria au Rais?
Usijaribu kusema ivyo itaipa tabu ccm yetu...bora unyamaze tuIlikuwa kabla ya nchi kuingia uchumi saizi kila mtu ni Don
ni ile misukule inayojiita MATAGA!Kwa muda sasa tumesikia kuwa Tanzania kuna 'wanyonge' na Rais amekuwa akiwapigania kwa kujiita ni 'Rais wa wanyonge.'