fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 738
- 1,017
Habari wana jamvi!
Nisiwachoshe kama ambavyo hampendi kuchoshwa.
Mwaka jana mwezi wa nane nikifanikiwa kutimiza haja ya moyo wangu baada ya kufanya savings ya miaka 25 kukusanya pesa ya mtaji.
Nilifanikiwa kukusanya pesa kidogo na kuagizia mzigo container moja wangu, mzigo ulifanikiwa vyema kutoka uko ulipo. Balaa zaidi lilikuja kuibuka pale bandarini!
Niliagiza mzigo wa M kazaa, sema baada ya mzigo kufika nilishindwa kuupokea maana nilichokutana nacho pale bandarini kilinitaabisha sana.
Garama zakutoa mzigo bandarini ni kubwa kuliko garama za mzigo wenyewe.
Nikajiuliza jee inabidi nijichange tena miaka 25 ingine kukusanya pesa ya kwenda kukomboa mzigo pale bandarini!?
Kwa namna hii utajiri ni kwa wale tu walio kwenye system, kwa sababu gani nasema hivyo!
Mzigo wangu ulikuja pamoja na mzigo wa mh flani simjui but wote tulikua na tatizo moja la ushuru, sema mh alikuja na kuingia geti namba 4 lenye baria za wajeda. Huwezi amini mzigo wake aliichukia pale pale wala haukupitishwa kwenye scanner!
Wakuu yani ishu yake haikuisha hata dakika 30!
Mimi kwanzia mwaka jana mpaka leo mzigo upo bandarini na haujatoka bado nawaza namna yakuutoa maana ninaumwa stress naisi mpaka vidonda vya tumbo vimenipata kisa stress 😬.
Sema hii nchi wanyonge tunanyanyasika mno ila tulio wapa tunu ya kutuongoza ndo Wanajua nini maana ya mema ya hii nchi!
.binafsi sizani kama namatumaini tenana mzigo wangu maana kwa mda wote huo uliopita sizani kama awajatekenya kofuli kujichotea jasho la mnyonge.
Kulaumu sana siwezi ila ninaweza kushauri.... Kwanini kodi zisiwe zinaorozeshwa kabla mzigo ujaagizwa ili ukilipia mzigo uko ughaibuni uwe umemaliza mpaka ushuru wa forodha!
Hii itasaidia sana kwa maana now technologies imekua kubwa na kama nchi haiwezi kutrack apps zilizo access nchini za mauzo na manunuzi kwa kuweka bei na ushuru wote ili mtu akiagiza mzigo ukifika basi akifika bandarini aende kuchukua mzigo apite ivi.
Sema pale bandarini kuna mushkeli nyingi mno. Now nawaza bora ile savings yangu ningeenda bar nikaishenyete mpaka basi kuliko kununua mzigo kuja kubanaa na kuibiwa bandarini.
Nimechoka hii mambo na ninaapa siagizi mzigo tena mpaka nichukue mzigo wangu kwanza na kama umeibiwa hata USB moja basi sichukui chochote mpaka niakiki mzigo wangu upo sahihi.
Nimechoshwa na uhuni. Mda mwingine nashindwa hata kutofautisha kati ya Mafia na our government. Its bored