Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond


kwanini msiunganishe hizo nguvu kuondoa umasikini wa watanzania wengi kuliko kuhangaika na mtu mmoja?? hio waachie #TeamWema #TeamDomo #TeamKadinda na wapambe wake wote.
 
Unga nguvu kujikwamua na umasikini!!! Acheni kukita bongo zenu kwenye umbea na udaku....
Hao waliompandisha ndio wanamshusha (clouds) sijui kawakosea nini?? Kama ulifuatilia kiumakini pale dj fetty na mwenzake ndio waliolikoleza mmoja alisema team kibaaa ila fetty akajifanya kudakia simbaa

Then wakaanzisha mpambano simba(kiba) vs yanga(diamond)...
 
kiukweli hata kama watafanya fitina za kumpoteza "domo".his legacy in bongo showbiz will forever exist.he was the first tanzanian artist who dared to invest a lot of money in music videos.tulizoe kuona video za ajabu ajabu zisizo kuwa na hadhi ya kimataifa.he commecialized bongo fleva from local level to international one.

angekuwa msanii mwingine,hayo mamilioni anayo yatimia kufanya video za gharama,angeyatumia kukaa bar na marafiki na mademu kula bata.

hakika umethubutu diamond.hongera sana.
you played your big part son.
 

Peleka Insta au FB hii kitu hapa imepotea njia
 

Mbeya alisema hakuna hotel ya kulala yy

anyway kwan wamemfanyaje
 
Wangeweza wangemgaragaza Lady JD kwanza.

Namshauri Diamond aonane na Lady JD haraka iwezekanavyo apate maujanja.

ewe punguani,kumbuka jide ni mtoto wa kike,ana kitu cha ziada ambacho daimond hana.au unataka awe bwabwa mwisho wa siku mumnyoshee vidole mtoto wa mwanamke mwenzenu?!.ebooo!,apambane kivyake.mbona prof jay kasimama japo hayuko kivile na team ruge.
 
Poleni na Daimondi wenu, nashukuru Mungu hivi vitu vyote vinavyoanzia na 'bongo' sihusiki navyo, BONGO MUVI, BONGO FLEVA, nk. sioni jipya huko.
 

Mkimwamini Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo na kuzishika amri zake yote yatawezekana.
 

Nyie ndio mnakuza Mambo haya na Sito shangaa Magazeti ya Shingongo yata pambwa na habari ya kuzomewa kwa Diamond!

Hivi ni nani au ni kundi gani linataka kummaliza kimziki? Kwa msanii kuzomewa huwa inatokea na Mimi kwa Dares-salaam sishangai maana najua fika kuna upinzani mkubwa kati ya mashabiki wa Diamond na Alikiba hivyo ingewezekana hata Alikiba kuzomewa lakini muda mwingine huwezi kuwapangia mashabiki chakufanya!

Diamond hili la kuzomewa wala lisimkoseshe amani achukulie tuu kuwa si kila mshabiki ni wakwake!
 
Kwani Jana ilitokea nini huko Fiesta.na akina nani wanamuhujumu?!

Alivyokua anaimba jana alikua anazomewa vibaya sana.... watu wanamshabikia Ali kiba huku Diamond yuko stejini

Anasema watu wangu wa kinondoni vipi watu Booooo.. ndio hujuma inaongelewa hiyo..
 
ngoja nitulie nione hiliswala litafikia wapi
 
ewe punguani,kumbuka jide ni mtoto wa kike,ana kitu cha ziada ambacho daimond hana.au unataka awe bwabwa mwisho wa siku mumnyoshee vidole mtoto wa mwanamke mwenzenu?!.ebooo!,apambane kivyake.mbona prof jay kasimama japo hayuko kivile na team ruge.

Haa haaaa,Mkuu Kadoda hapo umemaliza kila kitu sababu Wabongo wabaya sana wanakupa ushauri then baadae wanakuruka na kukunyooshea vidole kana kwamba hawakukushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…