Wanyonge zamu yenu mlilalamika, zamu ya walamba asali mnalalamika. Tuwasiadiaje?

Wanyonge zamu yenu mlilalamika, zamu ya walamba asali mnalalamika. Tuwasiadiaje?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Serikali ya wanyonge iliwaacha wanyonge na unyonge wao, serikali ya Kazi iendelee ambayo Sasa inatambulika kama ya walamba asali wanyonge Hali Tete.

Niwaambieni kitu, hakuna kiumbe kinachoteseka chini ya jua kama kinyonge. Ni uamuzi wenu kuendelea kuwa mnyonge au kujiongeza kudai Haki Yako

Kuendelea kuamini Kuna serikali ya wanyonge nikupoteza Wakati, nikujipa matumaini na kuruhusu kuendelea jutawaliwa. Fanya uamuzi sahihi Sasa chukua chako kadri unavyoweza Ili usiwe mnyonge. Ukiwa mpole ukategemea wafikiri kwa niaba Yako utuishia kusifiwa kuwa mnyonge.

Akitokea mwanasiasa akakuita mnyonge mwashe kibao, anakuandaa kisaikolojia akutawale. Hakuna kinyonge chenye haki.kuitwa mnyonge nikunyimwa haki
 
Wanyonge wanatakiwa wadhibitiwe wakiachiwa wanaiharibu Nchi.
 
Tatizo la wanyonge ni uvivu, kupenda mteremko, kupenda vya bure, kulalamika, na kuwaonea wivu/kuwa na chuki dhidi ya matajiri, wafanyabiashara, wafanyakazi na Msoga gang.
 
Back
Top Bottom