Wanyonyi amtwanga Mandonga

Wanyonyi amtwanga Mandonga

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Bondia Daniel Wanyonyi kutoka Kenya [emoji1139] amefanikiwa kulipa Kisasi Kwa kumtwanga Bondia Karim Mandonga kutoka Tanzania katika pambano lao lilifanyika Usiku wa Kuamkia leo jijini Nairobi [emoji1139]

Maoni yangu huyu jamaa ipo siku atakuja kufia ulingoni huku mashabiki zake wakikenua meno kwa kucheka anachokifanya.

Kila siku unapambana kwa tunaojua huu mchezo wa ngumi siyo wa kuleta utani.
1690094617841.jpg
 
View attachment 2696759
Hivi huyu si ana pambano tarehe 29

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
anaupiga mwingi mdomoni kuliko mkononi.... yule km Manara tu
 
Mandonga ni bondia mjanja mjanja sana. Ana maneno mengi kuliko vitendo. Na kwenye pambano lake na Moses Golola pia atadundwa kwa mara nyingine tena.
 
Back
Top Bottom