Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiona mtu anakunywa bia , huwa tunamuona anapesa maana kunywa bia hadi ulewe ni 2hrs+Nimesoma makala moja inaripoti kwamba watu wanaotumia bia na vilevi wana furaha zaidi.Na wanajua kutafuta pesa Sana.Je kuna ukweli?
Nimesoma makala moja inaripoti kwamba watu wanaotumia bia na vilevi wana furaha zaidi na wanajua kutafuta pesa Sana.
Je kuna ukweli?
na hakuna mnywaji anaye weza kupoteza pesa kumnunulia mtu juisina hakuna mnywa bia mchoyo kwa mnywa bia mwenzake hapa duniani...
AgreedNimesoma makala moja inaripoti kwamba watu wanaotumia bia na vilevi wana furaha zaidi na wanajua kutafuta pesa Sana.
Je kuna ukweli?