Wanywa Chai Mnalalama Mno

Wanywa Chai Mnalalama Mno

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,327
Reaction score
4,624
Wanywa chai bwana!!! Malalamiko kibao.
Toka Magufuli ashike usukani wanywa chai kila siku mnalialia, sukari imepanda bei! sukari imepanda bei! Sisi tunaokunywa bia tungekuwa tunalalamika hivyo nchi hii si isingetawalika?!!! Sisi kila mwaka, tena toka enzi za Mwl. Nyerere tunapandishiwa bei ya bia. Tumetulia tu na bia zetu.
 
Huna ubavu wa kunywa bia wewe...kanywe mataputapu!!
 
One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors.
 
Back
Top Bottom