Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Wakuu sijui ni kuwa addicted tu au ndo uhalisia ulivyo mimi kahawa yangu pendwa ni Nescafe Gold huniambii kitu asee.
Kwanza huwa haina uchungu wala ladha za ajabu ajabu ladha yake imetulia Bali na hayo yote inachangamsha sana.
Vipi wewe kahawa yako pendant ni ipi?
Kwanza huwa haina uchungu wala ladha za ajabu ajabu ladha yake imetulia Bali na hayo yote inachangamsha sana.
Vipi wewe kahawa yako pendant ni ipi?