Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Lipia tangazo lako la biasharaWakuu sijui ni kuwa addicted tu au ndo uhalisia ulivyo mimi kahawa yangu pendwa ni Nescafe Gold huniambii kitu asee.
Kwanza huwa haina uchungu wala ladha za ajabu ajabu ladha yake imetulia Bali na hayo yote inachangamsha sana.
Vipi wewe kahawa yako pendant ni ipi?View attachment 3261043
Shingap mkuu? weka lipa noLipia tangazo lako la biashara
FAFANUA MKUUKAHAWA NI SUMU
30-32K JUMLA HADI 27K UNAIPATAInauzwaje hii..?
Tuma na ya kutolea kwenye namba hiiShingap mkuu? weka lipa no
Comment 11Bei gani hii??
Hii ya kiwandani hainogi kama ile ya kijiweni tunayouziwa huku stendi😆Wakuu sijui ni kuwa addicted tu au ndo uhalisia ulivyo mimi kahawa yangu pendwa ni Nescafe Gold huniambii kitu asee.
Kwanza huwa haina uchungu wala ladha za ajabu ajabu ladha yake imetulia Bali na hayo yote inachangamsha sana.
Vipi wewe kahawa yako pendant ni ipi?View attachment 3261043