chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasoma manake kuacha kunywa coka siwezi
Kama watu wanakunywa viroba na hawafi sembuse na coca? Tutakunywa tu.
Why only coca cola??
pepsi hazina madhara yoyote kwa mwili??
Why only coca cola??
pepsi hazina madhara yoyote kwa mwili??
tafuta madhara ya pepsi then ufungue thread yako
hi ya kwagu inahusu coca
Sijasoma manake kuacha kunywa coka siwezi
Why only coca cola??
pepsi hazina madhara yoyote kwa mwili??
Ukiangalia vyema hapo utagundua kuwa jamaa alitakiwa kuandika pepsi ,cocacola na vinywaji jamii yake!Why only coca cola??
pepsi hazina madhara yoyote kwa mwili??
Inawezekana siku utakapovunjika mguu au mkono ukachelewa kuunga ndio dakitari akakwambia uache kunywa coke ili mifupa yako iimarike ndio utaelewa.
Ukiangalia vyema hapo utagundua kuwa jamaa alitakiwa kuandika pepsi ,cocacola na vinywaji jamii yake!
Aaah mdau mbona kutishana