Wanywaji wa Cocacola, soma hapa

Why only coca cola??
pepsi hazina madhara yoyote kwa mwili??
 
Nimekunywa kwa 20 years sasa, sioni tatizo..
 
Why only coca cola??
pepsi hazina madhara yoyote kwa mwili??
Ukiangalia vyema hapo utagundua kuwa jamaa alitakiwa kuandika pepsi ,cocacola na vinywaji jamii yake!
 
Inawezekana siku utakapovunjika mguu au mkono ukachelewa kuunga ndio dakitari akakwambia uache kunywa coke ili mifupa yako iimarike ndio utaelewa.

Aaah mdau mbona kutishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…