.............Umenikumbusha mbali sana.
hahahhhhhhhhhHahahaha mkuu unajua ukiwa tungi ukifika dah unapalamia tu cha kushangaza unaweza piga na usingizi kifuani.
Mkuu ni wewe tu, au sijui unakunywa pombe gani? za kienyeji? Mie yanatoka madume ya mbegu tu!! Natafuta kabinti sipati labadaNimejaribu kufanya kautafiti nina rafiki zangu zaidi ya 20 ni wanywaji wazuri wa pombe cha kushangaza hawa wadau wake zao karibia wote wamebahatika kupata watoto wa kike, je kuna konekesheni gani kati ya pombe na ujio wa hawa watoto, naomba jibu wanasayansi.
Je inabidi jamaa anapo taka mtoto wa kiume astaafu pombe kama mwezi hivi????
Wadau wa kaunta Asprin, Teamo, Fidel80, Kimey, GY, st.R.R, The Finest, Bigirita, Acid na wengineo michango yenu muhimu jamani kwa hili.
Nawakilisha.
Mkuu ni wewe tu, au sijui unakunywa pombe gani? za kienyeji? Mie yanatoka madume ya mbegu tu!! Natafuta kabinti sipati labada
tubadilishane hahah ...........
hiyo itakuwa sumu mkuu hahahHebu jaribu kokteili ya bingwa, kiki, balimi na eagle uone......
hiyo itakuwa sumu mkuu hahah
Wasiokuwa na laptop utawajua tu unashangaa kutokuwa via mobile?? Kazi ya kutegemea mitandao ya serikali modem zimejaa kibao mpaka sasatel bado huna??? Naingia hapo sasa hivi niko kwenye taa
Hebu jaribu kokteili ya bingwa, kiki, balimi na eagle uone......
Wasiokuwa na laptop utawajua tu unashangaa kutokuwa via mobile?? Kazi ya kutegemea mitandao ya serikali modem zimejaa kibao mpaka sasatel bado huna??? Naingia hapo sasa hivi niko kwenye taa
hahaha Habari yake banaaaa! :welcome:Huu ushabiki wa kisiasa.....