Elections 2010 Wao wana pesa sisi tuna Mungu!!!

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
8,169
Reaction score
3,351
Hebu sikia baadhi ya maneno aliyosema Lema wakati ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo la Arusha. "Wao wana pesa sisi tuna Mungu". Kwa kweli sikumuelewa alikuiwa anamananisha nini hapo.
Wana JF changieni kidogo.
 
mbona inaeleweka ulikuwa hujui uchaguzi huu ulikuwa ni wa WENYEHAKI na MAFISADI
 
Dada alimwaga pesa sana.....tulikula pesa na kura hatukumpa....nani mjanja hapo....ha ha ha
 
Aha ha ha ha h pesa wamekula na kura wamewanyima
 
dada alimwaga pesa sana.....tulikula pesa na kura hatukumpa....nani mjanja hapo....ha ha ha

umenikumbusha statement mmoja alisema mchungaji mmoja kuwa pokeeni pesa za mafisadi na kura muwanyime ndio haya nayaona sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…