B BOSCOCASTO Member Joined May 21, 2013 Posts 12 Reaction score 2 Jun 16, 2013 #21 Hivi mkuu inawezekana kwa mtu aliyepata division 3 ya 17 yaan EEF, akapata chuo na kupewa mkopo % kwa mfano mchepuo wa arts(EGM),ambapo math-F?
Hivi mkuu inawezekana kwa mtu aliyepata division 3 ya 17 yaan EEF, akapata chuo na kupewa mkopo % kwa mfano mchepuo wa arts(EGM),ambapo math-F?
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Jun 21, 2013 #22 BOSCOCASTO said: Hivi mkuu inawezekana kwa mtu aliyepata division 3 ya 17 yaan EEF, akapata chuo na kupewa mkopo % kwa mfano mchepuo wa arts(EGM),ambapo math-F? Click to expand... Ili mradi apate chuo.
BOSCOCASTO said: Hivi mkuu inawezekana kwa mtu aliyepata division 3 ya 17 yaan EEF, akapata chuo na kupewa mkopo % kwa mfano mchepuo wa arts(EGM),ambapo math-F? Click to expand... Ili mradi apate chuo.
M Marnah JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 1,124 Reaction score 303 Jun 23, 2013 #23 Molembe said: Ili mradi apate chuo. Click to expand... mkuu unafahamiana na yoyote anaetoa huduma ya kuwajazia hawa watoto wetu mkopo HESLB ata kama kwa pesa.......kama unafahamiana nae yoyote yule naomba no tafadhali maana wengi mpaka sasa wamekwazika juu ya hili na mda unakimbia tu
Molembe said: Ili mradi apate chuo. Click to expand... mkuu unafahamiana na yoyote anaetoa huduma ya kuwajazia hawa watoto wetu mkopo HESLB ata kama kwa pesa.......kama unafahamiana nae yoyote yule naomba no tafadhali maana wengi mpaka sasa wamekwazika juu ya hili na mda unakimbia tu