tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Vijana wana kazi kweli kweli, wacheki hawa>nimewashuhudia pale Rozana wakisubiri usafiri asubuhi. >Me. Mambo
>ke. Poa
Me. Mzima
>Ke. Mzima.
>Me. Unaelekea wapi? Na story nyingine za kuulizia jina
>Ke. Mjini
>Me. ok Maskani wapi?
>Ke. Huko
>Me. Huko ndo wapi?
>Ke. Bomu bomu
>Me. Mi nimependa tuwe mabest vipi naweza pata contact zako.
>Ke. Poa
>Me. Nigee namba, au nikupe cmu uandike mwenyewe?
>Ke. sina simu.
>Me. Akashangaa
>ke. Mbona unashangaa kwani ajabu kutokuwa na simu?
>Me. Yap ni ajabu kwa binti kama wewe
>Ke. Ndo hivyo sina
>Me. So njia nyingine ya kukupata?
>Ke. Akashangaa>kunipata mimi?
>Me. Ndiyo
>Ke. Kunipata ili unipeleke wapi?....jamaa uvumilivu ulimshnda na ikabidi ampotezee. Kinachonishangaza>>hivi guyz hawawez/hatuwezi ongea na mtu bila kuomba hayo manamba? Samtaim ukauzu unahitajika, wataanza wao tu kuomba.