waomba namba za simu na vituko vyao

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Vijana wana kazi kweli kweli, wacheki hawa>nimewashuhudia pale Rozana wakisubiri usafiri asubuhi. >Me. Mambo
>ke. Poa
Me. Mzima
>Ke. Mzima.
>Me. Unaelekea wapi? Na story nyingine za kuulizia jina
>Ke. Mjini
>Me. ok Maskani wapi?
>Ke. Huko
>Me. Huko ndo wapi?
>Ke. Bomu bomu
>Me. Mi nimependa tuwe mabest vipi naweza pata contact zako.
>Ke. Poa
>Me. Nigee namba, au nikupe cmu uandike mwenyewe?
>Ke. sina simu.
>Me. Akashangaa
>ke. Mbona unashangaa kwani ajabu kutokuwa na simu?
>Me. Yap ni ajabu kwa binti kama wewe
>Ke. Ndo hivyo sina
>Me. So njia nyingine ya kukupata?
>Ke. Akashangaa>kunipata mimi?
>Me. Ndiyo
>Ke. Kunipata ili unipeleke wapi?....jamaa uvumilivu ulimshnda na ikabidi ampotezee. Kinachonishangaza>>hivi guyz hawawez/hatuwezi ongea na mtu bila kuomba hayo manamba? Samtaim ukauzu unahitajika, wataanza wao tu kuomba.
 
pole sana. Utasubiri sana kuombwa namba na haitakaa itokee labda kama unagawa asali na maziwa.
 
ambaye ameanza kumuongelesha mwenzake ndo ataomba namba.halafu namba inasaidia kutopotezeana mda.mtu mnapeana namba halafu mnapanga siku ya kuongea ambayo kila mtu amejiandaa.sasa wewe unataka papo kwa papo kama jogoo?.mia
 
inategemea na situation lakini out from no where unaanza kumdandia dada wa watu ati naomba namba,vijana wajanja wa siku hizi hawaingii waruwaru kihiivo
 

naona umeamua kuamka kwenye ule mwembe wako wa chama, mwenbe mawazo, vp tena hayo maua? Umetoka kuoa juzi ukaondoka na yale maua ya hightable?
 
Mpaka dem akuombe namba lazma umpe mda wa kukuzoea, sasa wale vijana wa hit & ran lazima waombe no in advance, ukiwa na no ni rahis kumaliza mchezo tena ju kwa ju,
 
me naona ni sahihi kuomba namba coz ndi njia pekee ya kutafutana...other wise turudu kulee kwa sanduku la posta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…