Waombaji wapya wa Vyuo kupitia TCU 2015/16 chekini programme zenu

Joined
Jun 4, 2015
Posts
37
Reaction score
18
Kwa wale walioomba vyuo mwaka huu hebu chekini programme zenu for eligibility. Cheki kama uko eligible kwa kugonga link ya check for eligibility na kuvalidate proramme zenu. Kuondoa usumbufu wa kutopata programme yenye sifa zako.
 
Emu fafanua vizur mkuu hizo link ziko wapi sababu mm nimemaliza kuchagua programmes juz tu na sikuziona hizo links unazozisema.
 
Marco Polo Log in kwa kutumia index no yako ya form 4 na password kisha view Selected Programmes utaona kuna link ya kucheck eligibility. Ukiclick hapo utaona proramme zako tano ulizochagua. Kulia kwake kuna link za kuvalidate programmes zote tano toka first choice hadi Fith.
 
Last edited by a moderator:

Ahsante mkuu nimekuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa asilimia fulani ndio uhakika wa kupata.
Kwa uhakiaka zaidi tafuta guide book km wameshatoa au cheki mwaka Jana iweze kupata mwanga kidogo
 
Kwa wale walioomba vyuo mwaka huu hebu chekini programme zenu for eligibility. Cheki kama uko eligible kwa kugonga link ya check for eligibility na kuvalidate proramme zenu. Kuondoa usumbufu wa kutopata programme yenye sifa zako.

wadau kwan muda wakufanya application TCU sio bado au mm nashndwa kuelewa
 
Wakubwa naombeni mnisaidie naipenda sana md na nina cut of point tano.na katika pitapit zangu kuna vyuo nime ona vina cut of point ya 4.5 kwa md.
Na vyuo vyenyewe ni;kailuki,imtu,ajuco na kampala.
Tafadhari wakubwa naomba nisaidien nijaze vipi ili nipate walau kimoja
Natanguliza shukurani
 
cut of point ndo nn
 
Mkuu uwezo wako ni mdogo kwa Medicine,matokeo yako yanajionesha tu mkuu wangu,tafuta kozi nyingine inayokufaa usome,huko utatuulia ndugu zetu

Well,Kampala na Imtu usiende,vipo kibiashara zaidi na elimu itolewayo pale inasemekana ni duni

Jaribu AJUCO though nina wasi wasi kama utastand competition matokeo ya madogo wa BRN yakitoka
 
aysee naomba nmitoe ushamba kwa hili.
nmenunua vocha ya TCU lakn kila nkijaribu kuingiza zle namba ili kufany registration wananambia haipo kwenye system yao.. hivi hiz haztumiki kwamba nilzma ulipe kuptia m pesa na tigo pesa ama??
 
Wadau mie nahangaika kweli matokeo yapo poa na nimeomba tcy nkichek eligibilty wanafuta course mbili et nweke zngne tena na matokeo yapo poa na kuna watu nmewazidi matokeo form doue jadi six yankubali na course ni zilezile
 
Nililipa 50000 TCU kupitia tgo pesa mwezi mmoja uliopita nikapewa transaction id....nikaitumia hiyo id kufanyia registration na nikafanikiwa mpaka kuchagua course za kusoma....Cha ajabu mda c mrefu uliopita leo tgo wamenitumia sms wakiniambia ile transaction ili fail na pesa yangu 50000 wamenirudishia,hapo awali TCU nao walinitumia confirmation msg kuthibitisha malipo yangu kupokelewa kwao na wakanipa voucher no ambazo sikuona umuhimu wa kuzitumia kwa vile nilikuwa nimeshajisajili kwa kutumia transaction id ya tgo.....Ajabu nyingne ni kwamba kila niki log in nakuta profile yangu iko poa tu haina tatizo lolote.
MSAADA WAKUU.
 
Wakuu naomba kujua km wanafunzi waliofanya mtihani mwezi may na matokeo hayajatoka na wenyewe wanaomba sasa hivi.
 
Back
Top Bottom