REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
- Thread starter
-
- #21
Wi-Fi hauna kirefu chake mjomba ipo hivyo hivyo kama wewe jina lako Naby ebu tuambie kirefu chakewewe ndo unajichanganya si umesema kabisa kaulizwa aandike kirefu chake...kwani walimuuliza aseme maana yake?
Hapa ni JF tuaenda kwa hoja ebu soma na wewe hiiSoma hii kitu
WIFI: Wireless Fidelity. WIFI also Spelled as Wi-Fi is a local area wireless technology. It allows an electronic device to transfer data or connect to the internet using ISM radio bands. ... Wi-Fi is the trademark of the Wi-Fi alliance and used as a brand name for products using the IEEE 802.11 standards.
Ukishaelewa nenda kaedit post yako halafu siku nyingine uwe makini kabla ya kuandika Pumba
sehemu nyingine linaenda tu na mazingira.........Wi-Fi hauna kirefu chake mjomba ipo hivyo hivyo kama wewe jina lako Naby ebu tuambie kirefu chake
Hapa ni JF tuaenda kwa hoja ebu soma na wewe hii
What is Wireless Fidelity?
A common misconception is that the term Wi-Fi is short for "wireless fidelity." This is not the case. Wi-Fi is simply a trademarked term meaning IEEE 802.11x. The false notion that the brand name "Wi-Fi" is short for "wireless fidelity" has spread to such an extent that even industry leaders have included the phrase wireless fidelity in a press release. You'll also find references to Wi-Fi being short for wireless fidelity on a number of well-known and respected technology-focused publications and websites. The truth is, Wi-Fi isn't short for anything — and it never was.
The current confusion seems to stem from a brief period early in the days of the Wi-Fi Alliance when a regrettable tag line was added that stated, 'The Standard for Wireless Fidelity.' This was not part of the original name and was not created by Interbrand, but it was added as an afterthought in an attempt to help users make sense of the new and somewhat nonsensical word, Wi-Fi.
Kiukweli umefanya overthinking ya ajabu mkuu....Nimepita mahujiano kati ya nikimbishi na waongozaji wa kipindi cha bar tender mwishoni mwa kipindi waongoza kipindi wakamuuliza swali nikimbishi kuwa andike kirefu cha Wi-Fi, nikimbishi akaanza kuandika jibu alilotoa nikimbishi ndio ukweli wa uzushi ulipo kuhusu Wi-Fi kuwa Wi-Fi ni (wireless fidelity) baada ya nikimbishi kuandika nikajua waongozaji wataelezea kuhusu alichoandika nikimbishi maana siyo kweli ajabu watangazaji nao wakaunga mkono kuwa nikimbishi yupo sahihi
Jamani Wi-Fi ni trademarked term yenye maana (IEEE 802.11x) siyo kifupi cha kwakua umesoma hapa natumai una bando google uongeze maarifa nini maana ya Wi-Fi
Maleimani wa teknolojia tunajua maana ya Wi-fi ni wireless fidelity,hayo mengine ni ya kwenu mainjinia...Nimepita mahujiano kati ya nikimbishi na waongozaji wa kipindi cha bar tender mwishoni mwa kipindi waongoza kipindi wakamuuliza swali nikimbishi kuwa andike kirefu cha Wi-Fi, nikimbishi akaanza kuandika jibu alilotoa nikimbishi ndio ukweli wa uzushi ulipo kuhusu Wi-Fi kuwa Wi-Fi ni (wireless fidelity) baada ya nikimbishi kuandika nikajua waongozaji wataelezea kuhusu alichoandika nikimbishi maana siyo kweli ajabu watangazaji nao wakaunga mkono kuwa nikimbishi yupo sahihi
Jamani Wi-Fi ni trademarked term yenye maana (IEEE 802.11x) siyo kifupi cha kwakua umesoma hapa natumai una bando google uongeze maarifa nini maana ya Wi-Fi
😀😀😀😀 safi sana jibu lako nzuri sanaMaleimani wa teknolojia tunajua maana ya Wi-fi ni wireless fidelity,hayo mengine ni ya kwenu mainjinia...
Mbishi aliulizwa kirefu au maan ya Wi-Fi???.....na wireless Fidelity ni kitu gan?Nimepita mahujiano kati ya nikimbishi na waongozaji wa kipindi cha bar tender mwishoni mwa kipindi waongoza kipindi wakamuuliza swali nikimbishi kuwa andike kirefu cha Wi-Fi, nikimbishi akaanza kuandika jibu alilotoa nikimbishi ndio ukweli wa uzushi ulipo kuhusu Wi-Fi kuwa Wi-Fi ni (wireless fidelity) baada ya nikimbishi kuandika nikajua waongozaji wataelezea kuhusu alichoandika nikimbishi maana siyo kweli ajabu watangazaji nao wakaunga mkono kuwa nikimbishi yupo sahihi
Jamani Wi-Fi ni trademarked term yenye maana (IEEE 802.11x) siyo kifupi cha kwakua umesoma hapa natumai una bando google uongeze maarifa nini maana ya Wi-Fi
Ila jamaa kwakweli nahisi ana akili kuliko wasanii wenzake wote hayo maswali angeulizwa Nikki Yule msomi angekosa yoteLabda ungesema alipoulizwa photosynthesisi ni nini akajibu ni tabia/hali ya mmea kukua kwa kufuata mwanga hii kwa kweli alikosea kidogo kwa sababu hali ya mmea kukua kwa kufuata mwanga inaitwa phototropism na photosnthesis ni hali ya mmea kujitengenezea chakula chake kwa kutumia mwanga wa jua.mtoa mada rudi shule nilitegemea kosa hili ndo ulione
Mtoa mada kanivuruga kabisa kuna vitu viwili hapo maana na kirefu cha neno, hivyo kama wi-fi sio wireless fiderity basi angekuja na neno linalofanana na hilo na sio kutuambia trademarked sijui na bra bra braacha ku google sana tumia akili ya kawaida kaulizwa kirefu cha wifi hajaulizwa aelezee wifi ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo umejaa? Duh bado JF inahitaji mchujo wa hizi flags. Nyie ndo wale wazee wa ndiooooooo kila kituJF ni home of great thinker tunataka vijana waje kusoma wajifunze kile ni kipindi kinaandaliwa hivyo basi wanapokuwa wanajiandaa tunaitaji wawe wanapitia pitia tarifa mbali mbali kupata uhakika zaidi
Mfano hicho kipindi kimeangaliwa na watu wengi hususani vijana ina maana washaliswa matango pori
Wewe ndio hujui unachosema umevuta bangi nimeangalia nimekuta kirefu chake nj hicho sio huyo nikki au watangazaji Wi - Fi ni wireless fidelity," .JF ni home of great thinker tunataka vijana waje kusoma wajifunze kile ni kipindi kinaandaliwa hivyo basi wanapokuwa wanajiandaa tunaitaji wawe wanapitia pitia tarifa mbali mbali kupata uhakika zaidi
Mfano hicho kipindi kimeangaliwa na watu wengi hususani vijana ina maana washaliswa matango pori