Waonyeshe kuwa umejua unafiki wao ila hujadhurika chochote

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
WAZUSHI WAKIKOSA UBAYA WAKO BASI WATAZUSHA, NI FURAHA YAO KUONGELEA MABAYA TU YA WATU 😔

Kama wewe ni yule ambaye unataka kujibu kila mtu basi jua utajichelewesha .

Kama wewe ni yule ambaye ukisikia ulivyosema kipindi haupo basi unakorofishana na uliowaacha basi jua unajichelewesha.

Kama wewe ni yule ambaye kila uliposemwa tofauti na uhalisia wako basi unataka kupeleka ukweli jua unajichelewesha .

KWANINI?
Kwa sababu ili usonge mbele kuna watu untakiwa uwapuuze la sivvyo watafurahia jinsi wanavyokutesa kwa maneno na tabia zao ngumu.

Ndivyo walivyo hao, ukikosa ubaya hawajisikii vizuri hivyo kwa namna yoyote watajitahidi wakuzushie hata kisichokuwepo ilimradi tu uwe na kashfa mbaya na furaha yao ni pale utapopanic ( hamaki).

USHINDI WA KUISHI NAO NI HUU BILA WEWE KUATHIRIKA NI HUU
Wapuuze tu kwa sababu hao hawana shida na ukweli wako hivyo kadri unavyojitetea sana ndivyo wanavyofurahia kukuona ukitaabika hivyo waache na tafasiri zao kukuhusu nawe endelea na tafasiri yako.

WAONYESHE KUWA UMEJUA UNAFIKI WAO ILA HUJADHURIKA CHOCHOTE.

Mwanasayansi Saul kalivubha.
 
utawaonyeshaje kama umejua unafiki wao mkuu?
 
Back
Top Bottom