πππ Tayar ushakua eksipati membaUkirudi kutoka kutumikia BAN utakuta nimekuwa jei efu ekisipati memba
Tayari, nadhani hadi kufikia 11/2/2018 nitakuwa Platinum (hapo ndio nitakuwa nimetimiza mwezi mmoja)πππ Tayar ushakua eksipati memba
Tayari, nadhani hadi kufikia 11/2/2018 nitakuwa Platinum (hapo ndio nitakuwa nimetimiza mwezi mmoja)
hela tena uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiUkitaka uplatnum hata leo lipia pesa utaupata la sivyo endelea kuota tu huo uplatnum
Sasa acha kujizungusha kuna jukwaa pendwa lipo chini kabisa.
Tukutane huko.
ahsante!!!Hongera
Naomba kwa heshima na taadhima unioneshe katika uzi mahala ambapo nimesema mie ni mgeni hapa JF, fanya haraka basi!!!Sasa wewe na I'd Fake Kwann ushindwe pewa Hicho cheo!? Eti mgeni Anajua Maana ya Plutnum. Expert Member n.k Duh Shikamoo wewe
Yaani ni unapitwaNimetuma maombi mara nyingi lakini sijajibiwa si unajua tena wale "wakulu" huwa hawajibu wateja wao haraka hadi siku wakifurahi sasa sijui ni lini watafurahi
Mkuu kagusa pabaya nnSasa wewe kuwa senior member ina uhusiano gani na MBITIYAZA?
akikujibu ufanye kunitagiMkuu kagusa pabaya nn