Waosha macho nendeni Kampala!!

Habari bila picha zilishapitwa na wakati
 
Hahahahaa ati pesa madafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanikumbusha chuo wanafunzi toka Kenya na Uganda walikuwa wanajibanza sehemu wanashangaa uzuri wa mabinti wa TZ
 
Tomanyiraa , bawomaaa nyooo. Abahara batufuu, mbakuwako "enfuli" hahaha wingi wa nfuli ni magufuli. Sasa nilipofika Kampala wakauliza rais wenu Nani nikataja, wote wakacheka. Nilivouliza maana yake duh. Nikajua basiruwalaA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…