Waosha macho nendeni Kampala!!


Vipi Mkuu ile Gesti kubwa ambayo Watanzania wengi hupenda kufikia hapo Kampala mjini iitwao SAMALIEN iliyopo karibu na Uwanja wa mpira wa Nakivubo bado ipo? Wale ' Makahaba ' wa Kiganda wenye ' Misambwanda ' ya maana wanaopatikana katikati ya ilipo Benki Kuu ya Uganda na Shirika la Posta la Uganda bado wapo hadi siku hizi? Wale ' Vibaka ' waliotukuka wanaopatikana mitaa ya Wandegeya barabara ya kwenda Gayaza na Mkoa wa Luwero bado wapo hadi leo? Vipi Soko letu kubwa la ' Viwalo ' vya maana la Owino bado lipo Mkuu? Vipi daladala zao huko wanaziita ' Kamunye ' ambazo hujaza level seat bado zinaendelea na huo mtindo / utaratibu? Zile Klabu za Starehe za Ange Noir na Club Silk bado zipo na zinatamba au? Yale maeneo ya ' Ushuani ' ya Kololo, Mbuya, Muyenga, Makindye na Ntinda bado yapo vile vile ya Kishua au?

Sitoisahau Uganda niliyokuwepo Mimi kuanzia mwaka 1996 hadi mwaka 2002 na nilipoona huu ' uzi ' wako nimefurahi na nimekumbuka mengi sana ya nchi ya Uganda Mkuu. Ni nchi nzuri mno na inapendeza sana hali ambayo ukiwa huko utatamani tu undelee kuwepo huko na uliposema kuhusu Wanawake wenye ' Misambwanda / Makalio ' ya Kutukuka ama hakika hujakosea kwani Uganda ndiko nyumbani Kwao.

Hakikisha ukitoka huko uwe angalau umejua kuzungumza Kiganda / Chiganda kwani ni Lugha moja nyepesi na tamu kuiujua. Nayakumbuka sana haya maneno ya Kiganda kama....

  1. Uli murunji nyo....yaani Wewe ni mzuri mno
  2. Nikuwagala nyo....yaani nimekupenda mno
  3. Toina magezi... yaani huna akili
  4. Njagala mana yo...yaani nataka ' mbunye ' yako
  5. Ugenda wa...yaani unaenda wapi
  6. Chikati Ugamba yo...yaani vipi sasa unasemaje
  7. Toina lugezigezi...yaani usiwe na Kiherehere
Hapo katikati ya Benki Kuu na Shirika la Posta katika hayo Majengo mpaka leo bado nina kumbukumbu napo sana Mkuu kwani niliingizwa ' mkenge ' na Washikaji fulani hivi kwenda ' kubai ' mbunye katika Jengo lililopo kati hapo ambapo hizo Mbunye nyingi hujificha ndani humo na ukishalipia zinaibuka utadhani ' manowari ' za Kikorea unamalizana nazo katika ' Maboksi ' yaliyoandaliwa hapo kisha ' unasepa ' zako.

Siku hiyo Mwanaume niliingia kichwakichwa na ' migenye genye ' yangu huku nikiwa nimetoroka Shule usiku kwenda ' Kubai ' kumbe wakati naingia kuna ' Wambea ' fulani waliwatonya Polisi waliokuwa hapo Benki Kuu ndipo wakati ' Mwanamume ' wa Kitanzania ' nimeshasalula ' zangu kila kitu na kubaki tu na ' Suti ' yangu ya Kiumbaji tayari kuanza zoezi la Kutukuka la ' kuchomeka chomoa ' mara ghafla nikasikia Maaskari wameingia mule ndani tena na ' Silaha ' zao kabisa za moto ambapo kwakuwa walijua kuna Watu tumejificha mule ' tunabanduana ' wakatuamuru tujisalimishe wenyewe ndipo yule Demu ' niliyemubai ' alikuwa mzoefu akaniacha ' Solemba ' kwa kupenya mahala ambapo kwa wakati ule Mimi nisingeweza kupenya kwani kama ningebahatika ' Kupenya ' na kudondokea kwa kule chini huenda siku hiyo Uganda nzima wangetangaziwa kuwa kuna ' mchawi ' kutoka Tanzania ' kadondoka ' akiwa ' uchi / mtupu ' hivyo nikauchuna.

Wakati nimeuchuna wale Maaskari Polisi wakatangaza tena kwamba tutoke mule haraka la sivyo watapiga ' risasi ' ndipo Mwanaume wa Kitanzania nikaona isiwe taabu sitaki nirudi Dar es Salaam nikiwa ' Sandukuni ' hivyo taratibu nikaibuka lakini Suruali nikiwa nimeshavaa ila Shati langu begani ambapo walinigombania utadhani wamemkamata Osama Bin Laden.

Kosa moja walilolifanya wale Askari Polisi wa Kiganda ambalo lilinisaidia sana Mimi ni kukubali kwa ghafla ' uwongo ' wangu niliowapa kwani wakati wamenikamata pale na nakumbuka walikuwa Askari Polisi kama wanane hivi niliwadanganya kuwa Mimi sikuwa Mwanafunzi bali nilikuwa ni Mtoto wa Afisa wa Ubalozi wa Tanzania pale nchini Uganda ( na nakumbuka kipindi hicho Balozi alikuwepo Mzee Tambwe na naibu wake Marehemu Mzee Mufungo Silas Mujaya R.I.P ) ambapo niliweza kuwasoma Kitabia haraka mno wale Maaskari wa Kiganda na kugundua kuwa walikuwa wana njaa ( yaani hawajala ) na pia wanapenda sana rushwa.

Hivyo nikawaambia kuwa Mimi natoka Ubalozini na nina Hela za ' Kumwaga ' tu wakati ukweli ni kwamba nilikuwa na nauli ya kunirudisha tu Shuleni usiku wa manane nikishamaliza kufanya ' Upuuzi / Upupu ' wangu. Nikawaambia kuwa kwakuwa wako nane basi naomba waniamini nikimbie Ubalozini ambapo nitarudi pale na ' mzigo / hela ' au kama vipi wanipe Askari mmoja niende nae ili awaletee Hela hiyo ndipo nilipowajengea imani kuwa kweli Mimi ni Mtu mwema na sina matatizo.

Sasa wakati wananiuliza Ubalozini ni wapi Mimi kwa ' utundu / ujanja ' wangu nikawaonyesha Jengo moja lililopo jirani na Ukumbi wa Bunge la Uganda ambako halikuwa mbali na waliponikamatia ndipo wakaniruhusu nikimbie nikawaletee Pesa nilizowaahidi ambapo mwanzoni nilitembea ' Kiuaminifu ' kabisa ili wajue kuwa wameniweza ' Popoma / Pumbavu ' Mimi kumbe wakawa wamesahau kuwa Mimi ni Mtanzania niliyetokea katika nchi ya Nyerere na yenye Watu ' wajanja ' hakuna mfano duniani kama hata siyo Mbinguni.

Wakati nikiwa natiririka na naserereka zangu mitaa ile ya Kampala huku nikawa kila mara nageuka nyuma nawatizama wale Mapolisi wa Kiganda na nilipofika eneo moja ambapo kulikuwa na ' mteremko ' nilitoka ' baru / mbio ' hadi karibia na Kituo cha Mabasi pale mjini na kwa bahati nzuri ndiyo nikakuta basi la mwisho linapakia kwenda mitaa ya Shuleni Kwetu ' Mwanamume ' nikalipanda na safari ikaanza na nakumbuka wakati tunaondoka hilo basi lilipita njia ile ile niliyowaacha wale Mapolisi wa Uganda wakinisubiri niwaletee Pesa yao niliyowaahidi hali ambayo ilinifanya kila mara nisali kwa Mungu lile basi lisipate ' break down ' ya aina yoyote karibu yao au lisipigwe mkono na bahati nzuri sana Mungu wa Kitanzania alisikia ' Kilio ' changu na tukawapita pale pale hadi nilipofika Shuleni salama ' nikapenya ' katika ' uzio ' wetu na kuingia ndani Shuleni.

Tokea nipatwe na hilo tukio hata mchezo wenyewe wa ' Kubai ' Mbunye nao ukaishia pale pale. Ni tukio ambalo kila nikiikumbuka nchi ya Uganda lazima nilikumbuke halafu nabaki na maswali mengi sana Kichwani kwamba hivi siku ile wale Maaskari wangekuwa ' bandidu / wabishi ' Kwangu ningewaeleza nini Wazazi au kule Shuleni ingekuwaje. Ndiyo maana kila siku siachi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa akili, mbinu, ujuzi, mikakati na ujanja hasa ya Kimaisha.

Shikamoo Uganda!
 
kampala ni hatari. utatamani shingo iwe inazunguka nyuzi 360.
dressingcode ya mabinti /wakina mama (nyabo) ni nusu uchi...
wala hakuna mtu anaemshangaa mwenzake.
kama umeenda na wife au mchumba kutalii pale mahala ni afadhali uvae tinted ili usimkwaze mwenzi.
hatari sana sijui chanzo ni nini, wenyeji mtusaidie
 
Waosha rungu je ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
yes mkuu Uganda kila demu anaepita ana msambwanda !! kama sio bonge basi ana bastola za maana kule mahali hatari sana ni free country nilikutana na mitoto ya maana mizur kinoma ikawa inanitembeza inapiga shisha balaa!! nilienda stanbic kutoa mpunga kila Mara!! yes Uganda ni sehemu nzur kuosha macho baada ya miangaiko na Dada zetu wa kibongo!! watu wanakula starehe bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…