Waosha macho nendeni Kampala!!

mi nimekaa huko miaka kama 5 kila mda natamani nikaishi huko maana ukiwa na mpunga unakula bata usipo kwa nao ni bata pia. watoto wakutosha. ntarudi
 
Nakumbuka sana club moja pale mitaa ya wandeja ilikuwa inajaza sana wazungu na walikuwa wakipiga muziki wa rock sana, (steak out lounge), mbunye kibao, doh ule mji mtamu bhana, naumiss sana.
Nakumbuka kabla hawajajenga hili soko jipya hapa wandegya mpakani na Muk, na kulikuwa na kuku choma Watamu sana, mkitoka out lazima mpitie hapo kabla ya kufika hostel.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Devil worshipers watakuwa wengi kampala coz kimini sio vazi ambalo linamtukuza mungu but ni vazi la kumtukuza shetani ili uishie kwenye ngona ili shetani akamate ufahamu wako zaid so enjoy the moment but you better know that you are very wrong
 
So ata wanaume wa huko wanavaa vimini?
Basi mr M7 anashida kubwa sana aloh..
 
Mkuu, bila practical siyo scientific research. Lete picha tushuhudie. Mere words!
 
Huna maana kabisa mtoa mada...

Yani unatufanya tuanze jenga picha kichwani bhaanaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…