Waosha macho nendeni Kampala!!

Toa vielekezo tutaamini vipi hayo uyasemayo je kama umesimuliwa tu?
 
Huko na Nairobi n sem sem

Triple A
 
Mkuu yaan umenichekesha sana sanaaa
 
Huna maana kabisa mtoa mada...

Yani unatufanya tuanze jenga picha kichwani bhaanaa...
Pole sana! Picha noma maana huko dressing code yao haiendani na jamii yetu ya tz. Kajionee mwenyewe!
 
Bro bora umenena yaani kumuona mwanamke akivaa mini skirt anapagawa sasa akienda ufaransa, ujerumani na marekani si atachanyikiwa zaidi. [emoji1] [emoji2]
Mzungu hana ladha, akikaa na pichu hata ustuki. Achana na kitu Africa wewe!
 
hakuna sherka ukijisikia kuzimua asubuhi ni wewe tu. sheria so kiivyo sana, sitaa kaa nisahau club za kabalagala na zile za gaba na club moja hivi deuces ilikuwa poa sana jumlisha na za town ziko poa. bikini dance, pulse camps ya KIU
 
Daaah

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Toto la kinyankole hilo. Si wazuri wa sura tuu ila na rohozao pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…