Wapachikwa mimba na mchungaji

Wapachikwa mimba na mchungaji

medsebapol

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
327
Reaction score
225
[emoji117] Hule usemi usemao ukisitaajabu ya Rambo utayaona ya expendable Leo umeonekana.

Uko Kenya mchungaji mmoja amewapachika pesa au mimba mabinti 20.

Mchungaji adai amewasambazia baraka hao madenti[emoji94] .
1470165896551.jpg
 
Hatari sana!!Watasema ooohh hatukuwa tunafanya hivi kwa jina lako, ntasema kweli ondoka sikuwajua!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] watu tukiwaambia wawe makini na hao kina mtume na nabii hawaelewi...
Sasa ushetan gan huo kafanya...
Tatizo hawa wachungaj wa siku hizi awakucheza michezo ya makopo enzi za utoto wao,wamekuja kucheza mchezo wa kikubwa ukubwani
 
Tatizo hawa wachungaj wa siku hizi awakucheza michezo ya makopo enzi za utoto wao,wamekuja kucheza mchezo wa kikubwa ukubwani
Ha ha ha... Sasa hawa wanaruhusiwa kuoa tu na wapo ivo, sasa ingekua wanatakiwa kuwa mabikra kama maaskofu wa kiroma cjui ingekuaje
 
Eti mtu anakuambia tatizo ni hawa wachungaji uchwara,mi naomba kuuliza ni mchungaji gani ambaye sio uchwara?muache kujidanganya ovyo.
 
Mtawatambua kwa matunda Yao aisee. Sasa huyu si ndio mwisho wa utumishi wake.
 
Tatizo la kuamini miujiza ndo madhara yake hayo
 
Siyo kweli, huyo hakuwa mchungaji.

Kwani ungeandika kuwa mtu mmoja Kenya apachika mimba mabinti 20 bila kuweka mchungaji ujumbe usingefika vizuri🙁🙁
 
Pengine waume zao hawana shabaha, wacha wasaidiwe tuu maana hakuna namna nyingine
 
Siyo kweli, huyo hakuwa mchungaji.

Kwani ungeandika kuwa mtu mmoja Kenya apachika mimba mabinti 20 bila kuweka mchungaji ujumbe usingefika vizuri🙁🙁

Kama huyu Mchungaji wa Nigeria aliweza kuwabusu makalio kwanini iwe shida kwa huyu wa Kenya...Walokole ni janga la ulimwengu
IMG-20141122-WA0007.jpg
 
Walokole ni misukule ya mitume na manabii wa uongo yesu akuwaambia watu wawe walokole Bali wa watakatifu
 
Kama huyu Mchungaji wa Nigeria aliweza kuwabusu makalio kwanini iwe shida kwa huyu wa Kenya...Walokole ni janga la ulimwengu
View attachment 404460
duu hii nayo Kali,hv hao wamama hawajaona haya kabisaa kuvua hizo nguo.....mbona wachungaji timing zao ni wanawake na pesa tu hasa wachungaji wanaume...mbona sijasikia vihoja hivyo kwa wachungaji wa kike?
 
Back
Top Bottom