medsebapol
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 327
- 225
Maisha yaenderee.walijua tumbo linaifadhi chakula tu masikinSambaza upendo.
Tatizo hawa wachungaj wa siku hizi awakucheza michezo ya makopo enzi za utoto wao,wamekuja kucheza mchezo wa kikubwa ukubwani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] watu tukiwaambia wawe makini na hao kina mtume na nabii hawaelewi...
Sasa ushetan gan huo kafanya...
Kumbe linahifadhi na zygote!!!Maisha yaenderee.walijua tumbo linaifadhi chakula tu masikin
Ha ha ha... Sasa hawa wanaruhusiwa kuoa tu na wapo ivo, sasa ingekua wanatakiwa kuwa mabikra kama maaskofu wa kiroma cjui ingekuajeTatizo hawa wachungaj wa siku hizi awakucheza michezo ya makopo enzi za utoto wao,wamekuja kucheza mchezo wa kikubwa ukubwani
HAAA[emoji117] Hule usemi usemao ukisitaajabu ya Rambo utayaona ya expendable Leo umeonekana.
Uko Kenya mchungaji mmoja amewapachika pesa au mimba mabinti 20.
Mchungaji adai amewasambazia baraka hao madenti[emoji94] .View attachment 375062
Siyo kweli, huyo hakuwa mchungaji.
Kwani ungeandika kuwa mtu mmoja Kenya apachika mimba mabinti 20 bila kuweka mchungaji ujumbe usingefika vizuriππ
duu hii nayo Kali,hv hao wamama hawajaona haya kabisaa kuvua hizo nguo.....mbona wachungaji timing zao ni wanawake na pesa tu hasa wachungaji wanaume...mbona sijasikia vihoja hivyo kwa wachungaji wa kike?Kama huyu Mchungaji wa Nigeria aliweza kuwabusu makalio kwanini iwe shida kwa huyu wa Kenya...Walokole ni janga la ulimwengu
View attachment 404460