Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

Si bora ingekuwa haina gypsum ningeng'oa au kupiga oil? Mimi nishapiga gypsum na rangi kila kitu. Halafu ni conteporary kuingia darini mtihani!!!!
Pole sana mkuu, serikali ndio ya kulaumiwa aisee wangechukua hatua mapema tusingefika huko
 
Kuna hata hawa wadudu weusi hivi yaani kinakua ndani kwa ndani kinapejecha unatoka kama unga fulani kwenye mbao au vinakula sehemu kubwa ukija kugusa tu inatoboka ! Niliwahi pia kuwaona kwenye maharage ! Hata mchele pia wanatoboa
Hawa wananilia sofa zangu saizi..unga tu unamwagika
 
Huyo jamaa wa TBS mthenge kabisa aisee
 
Hivi kwani ukipaulia mlingoti nipeni uzoefu wa mbao hizi mlingoti
Hii kitu fundi wangu alinambia na akasema hazishambuliwi,isipokua anasema mafundi hawapendi sababu kwenye kupaua zinasumbua sana zinawapa mafundi kazi kubwa sio poa. Na hata bei yake alisema ni affordable
 
Hivi mafinga ipo mkoa wa Njombe Sasa tutaaminije Makala yako kama jambo dogo kama Hili hujalizingatia?
 
ndani,katikati ya mbao,
dawa ni ngumu kufika, hasa kwa 2x4 iliyosimama wima
Chemsha mbao kwenye pipa na dawa , fanya hilo wewe mwenyewe nunua dawa nunua pipa 1 lichane kati tafuta fundi wa welding akufanyie kazi ya kuliunga nunua dawa changanya mwenyewe tia mbao humo
 
Chemsha mbao kwenye pipa na dawa , fanya hilo wewe mwenyewe nunua dawa nunua pipa 1 lichane kati tafuta fundi wa welding akufanyie kazi ya kuliunga nunua dawa changanya mwenyewe tia mbao humo
mzee, mbao ziko juu kwenye paa
sema nilishamalizana nao na diesel
 
Fundi alishauri nichanganye oil chafu na dizel
weka diesel pekee, utanishukuru, oil chafu haingii ndani sana, diesel inapenya mpaka ndani, na utumie mashine ya kupulizia ipenye ndani kabisa kule
 
weka diesel pekee, utanishukuru, oil chafu haingii ndani sana, diesel inapenya mpaka ndani, na utumie mashine ya kupulizia ipenye ndani kabisa kule

Asante mkuu mimi sijapaua bado nawaza kuzipulizia dizel kabla ya kuanza kuziunga au unashauri je ??
 
Asante mkuu mimi sijapaua bado nawaza kuzipulizia dizel kabla ya kuanza kuziunga au unashauri je ??
pulizia zikiwa chini ndiyo itaingia vizuri
kama utapulizia zikiwa juu, inabidi uingie gharama ya kukodi/kununua compressor(au liquid pump ndogo) kupulizia
 
pulizia zikiwa chini ndiyo itaingia vizuri
kama utapulizia zikiwa juu, inabidi uingie gharama ya kukodi/kununua compressor(au liquid pump ndogo) kupulizia
Hivi zile chupa za Window cleaner za kupuliza huwezi tumia?
 
Hivi zile chupa za Window cleaner za kupuliza huwezi tumia?
labda mbao ziwe chini unafikia kirahisi
kama ziko juu, utalipua tu

binafsi nilianza tumia kama hii

kwa mbao za juu, ikawa inaleta masihara, nikachanga na mtu nikanunua kama hii
kazi ikawa rahisi sana, na iliisha chap
 
Nimeamini baada ya kuona video hii.. aisee mamlaka zipo wapi?

View: https://www.instagram.com/reel/DB2YE3xIrQE/?igsh=czRpdDB4bmVxNDVs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…