Wapaka rangi kucha, wanatuibia wake zetu

Usiangalie tu upande wa kupakaa wanawake rangi, angalia pia umbali wanaotembea kupita pita na kukatiza mitaa... hiyo ni kazi ngumu kama ya mmachinga kutembea na kutafuta wateja wa bidhaa zake...
kuna wamama wanauza matunda na kutembea distance ya kutosha
 
Ni suala la saikolojia linachukua nafasi,wanaume wanavutia zaidi.
 
Usiangalie tu upande wa kupakaa wanawake rangi, angalia pia umbali wanaotembea kupita pita na kukatiza mitaa... hiyo ni kazi ngumu kama ya mmachinga kutembea na kutafuta wateja wa bidhaa zake...
Mbona hujawafikiria wale dada zangu FREELANCERs wanaouza line, vipodozi na dawa za GNLD&etc??
 
Hii kazi naipenda sana na ndio maana naifanya hapa ofisini kwangu ...wadada wananifurahia mno mimi


Jigo
 
Hii kazi tam acheni unapapasa miguu kuliko hata mmiliki ukutane na mwenye kimini
 
Hao wanaume ni mchicha mwiba kula nikule
 
ndugu ukitaka salon yako ipate biashara kinyozi awe wa kiume ila mambo ya srub masage na mbwembwe zote tafuta wadada matata hapo vijana utawaona sasa siku dada asiwepo vijana hawanyoi hata kinyozi akipunguza bei ni sawa na kucha we unafikiri mwanamke atapenda kuoshwa miguu na mwanamke mwenzie subutu
 
Cha mtu huliwa na mtu na chuma ndicho huliwa na kutu. Mwanamke mpumbavu ubomoa nyumba yake kwa mikono yake miwili.
 
Baada ya kushikwa shikwa nini kinachofuata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…