Wapaka rangi kucha, wanatuibia wake zetu

Unamkuta mdada anasuguliwa hadi macho yanaiva hadi analegea huku jamaa anachombeza ni lazima aachie papuchi manake hapati huduma hiyo kwa jamaa yake.
Mh yani mtu aachie papuchi kwa kusuguliwa miguu? Kwa hiyo akipanda bodaboda atatembea na dereva bodaboda? Akioshwa nywele na mkaka, napo atatoka naye? Sidhani kama ni hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…