Wapalestina 7,000 wameuawa hadi sasa

Usiwe na wasiwasi na Watanzania waliopo huko, Palestina wanafata sharia za Kiislam.

Hao hawana ugomzi na Palestina ni wapita njia tu, "being in the wrong place at the wrong time".
Sasa kwa nini wanawashikilia hadi leo huku hadi waisrael wengine wamewaachilia, huoni kwamba kweli hao ni magaidi.
 
Sasa kwa nini wanawashikilia hadi leo huku hadi waisrael wengine wamewaachilia, huoni kwamba kweli hao ni magaidi.
Hata ANC na Mandela waliitwa magaidi.

Hakuna jipya hapo.
 
Sidhani kama ni sahihi kuwaonea huruma sababu wao wenyewe walikuwa tayari kwa hili, huwezi kumchokoza mtu aliyekuzidi nguvu kwa makusudi kisha usiwe na utayari wa kukabiliana naye.
Pole sana
 
Safi sana na mbadoop
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…