econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwa Sasa yamezuka mapigano ndani ya West Bank kati ya Jeshi la Mamlaka ya Palestina na wapiganaji wa Jenin Fighters. Mapigano hayo ya azidi kushika kasi Sana. Nilishasema Tangu Hamas na Fatah wapigane kule Gaza na Hamas kushinda na kulichukua eneo la Gaza , hata Palestina walipewa uhuru wao wanaoutaka na Israel bado watapigana tu wao kwa wao maana hawaelewani. Ngoja tuone haya mapigano yataishia wapi.