Kama chadema?Kwa Sasa yamezuka mapigano ndani ya West Bank kati ya Jeshi la Mamlaka ya Palestina na wapiganaji wa Jenin Fighters. Mapigano hayo ya azidi kushika kasi Sana. Nilishasema Tangu Hamas na Fatah wapigane kule Gaza na Hamas kushinda na kulichukua eneo la Gaza , hata Palestina walipewa uhuru wao wanaoutaka na Israel bado watapigana tu wao kwa wao maana hawaelewani. Ngoja tuone haya mapigano yataishia wapi.
Huna chanzo chochote unaropoka tu asubuh au uliamkia yale mambo yako leoKwa Sasa yamezuka mapigano ndani ya West Bank kati ya Jeshi la Mamlaka ya Palestina na wapiganaji wa Jenin Fighters. Mapigano hayo ya azidi kushika kasi Sana. Nilishasema Tangu Hamas na Fatah wapigane kule Gaza na Hamas kushinda na kulichukua eneo la Gaza , hata Palestina walipewa uhuru wao wanaoutaka na Israel bado watapigana tu wao kwa wao maana hawaelewani. Ngoja tuone haya mapigano yataishia wapi.
umesema ukweli ambao hata wapinzani wanaujua ila wanajizima data na kututumia sisi raia ili wajipatie ruzuku ila kiukweli wapinzani hawana nia ya uraisi tz huwez kupata urais kirahisiNafikiri ugomvi wao mkubwa ni kutofautiana kimawazo juu ya masuala yao dhidi ya Israel.
Kuna wapalestina wanaoamini katika mapigano/kupigana ili kupata haki yao dhidi ya Israeli na kuna wanaoamini kwenye mazungumzo ili kupata haki yao dhidi ya Israeli.
Kimsingi Palestina hawawezi kupata haki zao dhidi ya Israeli kwenye meza ya mazungumzo.
Ni kama kuamini eti utaitoa CCM madarakani kupitia box la kura au uchaguzi, au kufikilia eti kuna siku CCM itaachia madaraka kwa hiari.
Museveni alishawaambia waganda aliipata nchi msituni, anayeitaka naye aende msituni, halafu unakaa na kujadili Museveni au unapambana kwenye uchaguzi.
Bro kwenye meza ya mazungumzo ingewezekana 20 years ago kipindi cha Arrafat. Tatizo ndio kipindi Hamas wakaanza kushika hatam. Kumbuka Arrafat hakuwa HamasNafikiri ugomvi wao mkubwa ni kutofautiana kimawazo juu ya masuala yao dhidi ya Israel.
Kuna wapalestina wanaoamini katika mapigano/kupigana ili kupata haki yao dhidi ya Israeli na kuna wanaoamini kwenye mazungumzo ili kupata haki yao dhidi ya Israeli.
Kimsingi Palestina hawawezi kupata haki zao dhidi ya Israeli kwenye meza ya mazungumzo.
Ni kama kuamini eti utaitoa CCM madarakani kupitia box la kura au uchaguzi, au kufikilia eti kuna siku CCM itaachia madaraka kwa hiari.
Museveni alishawaambia waganda aliipata nchi msituni, anayeitaka naye aende msituni, halafu unakaa na kujadili Museveni au unapambana kwenye uchaguzi.
Ukikubali kuchonganishwa, huna akili.nyie mnaona picha ya uadui ya wao kwa wao,je hakuna mtu wa 3?