Wapalestina wakumbuka shuka kukiwa kumekucha

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kwanini walikuwa wanahama siku za mwanzo?

IMG_20241006_131317.jpg

Kwanini hawakukomaa walipokuwa tangia awali?

Kwani Isiraeli ilikuwa na uwezo wa kuuwa 5,000 siku ya kwanza au siku yoyote?

Mbona woga wao ndiyo umewafikisha huku kwenye 40,000 + na bado?

Haya si ni yale yale ya makwetu?
 
Kwanini walikuwa wanahama siku za mwanzo?

View attachment 3116767

Wangekomaa namna gani jamaa yangu! Kifo kiko mbele yako, na unaona wazi ndugu zako Hamas wanashindwa kumzuia Myahudi...na pia unajua ni nani umempoteza...yaani una jamaa unaowafahamu wamekufa vitani....Hata ungekuwa wewe ungetafuta Punda na hata mkokote uondoke! Vita ni nzuri kuishabikia ukiwa umekaa nyuma ya Keyboard.....
 
Mkuu siyo kwenye keyboard Wala hata kushabikia bali kuongelea amani.

Kumbuka amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga.

Hapa kwenye watu kufa unauona je ukomavu wa mmasai?

Unadhani wapalestina wangekomaa kimasai wangekuwa wamepata madhara waliyopata?

Hapo ndipo ulipo msingi wa hoja yangu, "adui mkuu ni hofu zaidi kuliko hata hatari yenyewe."
 
Ngojeni siku myahudi akipiga VATICAN ndio mtatia akili
 
Umeisha sema mwenyewe kwa nukuu yako........

Binaadam wote duniani wanatakiwa wawe waislam. Ambae sie muislamu maisha baada ya kufa yatakuwa magumu kwake...

Mbona unageuza kibao....Lengo lenu kubwa ni dunia Isilimu......simple and short......Israel haipigani vita vya dini.....ila unajua Hamas ndani ya Charter yao....Hata Hezbollah....Land ni chambo tu......ni kueneza Uislamu...Mwenye akili anajua Allah anataka nini...
 
Mkuu myahudi akapige Vatican kutafuta nini wakati yeye anapigania ardhi pale mashariki ya kati?

Wamechanganyikiwa...Hawajui hata wanapigania nini......Hata hiyo land ni chambo tu, wanataka kueneza Himaya ya Uislamu.....Jiulize Iran anapigania nini hasa...
 
Umeisha sema mwenyewe kwa nukuu yako........

Binaadam wote duniani wanatakiwa wawe waislam. Ambae sie muislamu maisha baada ya kufa yatakuwa magumu kwake...

Mbona unageuza kibao....Lengo lenu kubwa ni dunia Isilimu......simple and short......Israel haipigani vita vya dini.....ila unajua Hamas ndani ya Charter yao....Hata Hezbollah....Land ni chambo tu......ni kueneza Uislamu...Mwenye akili anajua Allah anataka nini...

Ninadhani land siyo chambo na wala lengo si kusilimu bali ardhi:

IMG_1567 (3).jpg
 
Wamechanganyikiwa...Hawajui hata wanapigania nini......Hata hiyo land ni chambo tu, wanataka kueneza Himaya ya Uislamu.....Jiulize Iran anapigania nini hasa...

Hapana sijaona wanapopigania dini.

Ninawaunga mkono kwa sababu wanapigania ardhi.
 
Mkuu siyo kwenye keyboard Wala hata kushabikia bali kuongelea amani.

Kumbuka amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga.

Hapa kwenye watu kufa unauona je ukomavu wa mmasai?

Unadhani wapalestina wangekomaa kimasai wangekuwa wamepata madhara waliyopata?

Hapo ndipo ulipo msingi wa hoja yangu, "adui mkuu ni hofu zaidi kuliko hata hatari yenyewe."
Israel hatishiwi nyau!! Wabaki waone, Israel ua nguruwe hizo
 
Hapana sijaona wanapopigania dini.

Ninawaunga mkono kwa sababu wanapigania ardhi.

Ndivyo ulivyo daganywa.....Umesoma Charter ya Hamas lakini......Umesoma hata document moja ya Iran baada kumuondoa Shah....Umesoma main document ya Hezbolah...walipoianzisha? Soma kwanza....ndio uandike...
 
Kwanini walikuwa wanahama siku za mwanzo?

View attachment 3116767

Kwanini hawakukomaa walipokuwa tangia awali?

Kwani Isiraeli ilikuwa na uwezo wa kuuwa 5,000 siku ya kwanza au siku yoyote?

Mbona woga wao ndiyo umewafikisha huku kwenye 40,000 + na bado?

Haya si ni yale yale ya makwetu?

Wenye akili hao....wanajua vita ni nini....

1728216738088.png
 
Back
Top Bottom