Kwanini walikuwa wanahama siku za mwanzo?
View attachment 3116767
Kwanini hawakukomaa walipokuwa tangia awali?
Kwani Isiraeli ilikuwa na uwezo wa kuuwa 5,000 siku ya kwanza au siku yoyote?
Mbona woga wao ndiyo umewafikisha huku kwenye 40,000 + na bado?
Haya si ni yale yale ya makwetu?
Wangekomaa namna gani jamaa yangu! Kifo kiko mbele yako, na unaona wazi ndugu zako Hamas wanashindwa kumzuia Myahudi...na pia unajua ni nani umempoteza...yaani una jamaa unaowafahamu wamekufa vitani....Hata ungekuwa wewe ungetafuta Punda na hata mkokote uondoke! Vita ni nzuri kuishabikia ukiwa umekaa nyuma ya Keyboard.....
Ngojeni siku myahudi akipiga VATICAN ndio mtatia akiliWangekomaa namna gani jamaa yangu! Kifo kiko mbele yako, na unaona wazi ndugu zako Hamas wanashindwa kumzuia Myahudi...na pia unajua ni nani umempoteza...yaani una jamaa unaowafahamu wamekufa vitani....Hata ungekuwa wewe ungetafuta Punda na hata mkokote uondoke! Vita ni nzuri kuishabikia ukiwa umekaa nyuma ya Keyboard.....
Ngojeni siku myahudi akipiga VATICAN ndio mtatia akili
Ngojeni siku myahudi akipiga VATICAN ndio mtatia akili
Mkuu myahudi akapige Vatican kutafuta nini wakati yeye anapigania ardhi pale mashariki ya kati?
Umeisha sema mwenyewe kwa nukuu yako........
Binaadam wote duniani wanatakiwa wawe waislam. Ambae sie muislamu maisha baada ya kufa yatakuwa magumu kwake...
Mbona unageuza kibao....Lengo lenu kubwa ni dunia Isilimu......simple and short......Israel haipigani vita vya dini.....ila unajua Hamas ndani ya Charter yao....Hata Hezbollah....Land ni chambo tu......ni kueneza Uislamu...Mwenye akili anajua Allah anataka nini...
Wamechanganyikiwa...Hawajui hata wanapigania nini......Hata hiyo land ni chambo tu, wanataka kueneza Himaya ya Uislamu.....Jiulize Iran anapigania nini hasa...
Israel hatishiwi nyau!! Wabaki waone, Israel ua nguruwe hizoMkuu siyo kwenye keyboard Wala hata kushabikia bali kuongelea amani.
Kumbuka amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga.
Hapa kwenye watu kufa unauona je ukomavu wa mmasai?
Unadhani wapalestina wangekomaa kimasai wangekuwa wamepata madhara waliyopata?
Hapo ndipo ulipo msingi wa hoja yangu, "adui mkuu ni hofu zaidi kuliko hata hatari yenyewe."
Hapana sijaona wanapopigania dini.
Ninawaunga mkono kwa sababu wanapigania ardhi.
Jibu rahisi sana....Tusubiri tuitunze hii nukuu yako...! Usiandikie mate wino upo! ShukranHiindio lugha atakayoielewa yahudi,kareebu atakipata anachokifuta,aache kuwaonea watu wasio na silaha.View attachment 3116843
Hiindio lugha atakayoielewa yahudi,kareebu atakipata anachokifuta,aache kuwaonea watu wasio na silaha.View attachment 3116843
Kwanini walikuwa wanahama siku za mwanzo?
View attachment 3116767
Kwanini hawakukomaa walipokuwa tangia awali?
Kwani Isiraeli ilikuwa na uwezo wa kuuwa 5,000 siku ya kwanza au siku yoyote?
Mbona woga wao ndiyo umewafikisha huku kwenye 40,000 + na bado?
Haya si ni yale yale ya makwetu?
Hiindio lugha atakayoielewa yahudi,kareebu atakipata anachokifuta,aache kuwaonea watu wasio na silaha.View attachment 3116843
Unadhani.......? Hivi Mandela anajua kila kitu! .......Kaicha South Africa nanmna gani......!