Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu.
Kutegemea na muda wako na location uliopo, unaweza kufungua duka dogo ukawa unauza accessories ndogo ndogo za gari na kutoa huduma ndogo ndogo pia.
Ukitoa gharama za fremu, kwa mtaji wa chini ya Million 2 unaweza kuanza na hii biashara.
Tunaweza kudiscuss vitu ambavyo unaweza kuanza kuuza, tukaambiana vipi vinatrend au vipi sio deal.
Nashauri tuweke katika magroup mawili, (1) Accessories na (2) Service/Huduma.
1. Accessories
Accessories za Urembo
Accessories zenye Matumizi/Muhimu
Hapa mchawi ni kujua machaka ya hivyo vitu kwa Kariakoo unakoweza kupata kwa jumla, na kama unaweza kumpata kijana wa kukaa dukani.
As business inakua, unaweza ukaendelea na huduma kubwa kama kuchonga funguo, wheel alignment nk.
Ushauri wowote?
Mimi nitajaribu kuanzia 2025 January mambo yakikaa fresh.

- Key holders
- Stendi na holder za simu
- Chaja na FM tunners & MP3 players (za kuweka kwenye lighter)
- Carpets
- Perfumes / marashi & purifers
- Vimulimuli & taa za urembo
- Polish ya seat na dashboard.
- Polish ya body
Accessories zenye Matumizi/Muhimu
- Fire Extinguisher
- Triangles
- Universal Android Infotainment (ila hizi bei kali tuziache kwa sasa)
- Coolants.
- Wipers
- Kuweka tinted
- Kusafisha taa
- Kufanya waxing (hii itaendana na ukiwa na car wash so tuiweke ya baadae)
- Kujaza upepo (hii nayo inataka compressor kidogo bei kali)