Wapambanaji tusikate tamaa

Wapambanaji tusikate tamaa

mr_stev001

Senior Member
Joined
Feb 4, 2023
Posts
159
Reaction score
220

Wengine tumetoka vijijini kuja mjini tunajua nini tumefata ,tumekuja kupambana tuokoe familia zetu ,zikae sawaa usisahau kilicho kuleta mjini

enline_g✅
 
Subiri update kwanza tukutane na mishangingi ya mjini ndio tutajuwa unajuwa ulichofuata mjini.

Muone mmakonde konde boy baada ya kukutana na mishangingi ya Dar.
 
Subiri update kwanza tukutane na mishangingi ya mjini ndio tutajuwa unajuwa ulichofuata mjini.

Muone mmakonde konde boy baada ya kukutana na mishangingi ya Dar.

haaaa kweli sio makondee tyu mwangalie sadalaaaa naye alisema atarejea lakin wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom